Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI (185)



Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS), Wakala wa Serikali (MDA’S) na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGA’S) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Mia moja na themanini na tano tu. (185) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

1. KATIBU SHERIA DARAJA LA II (35)

2. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III (54)

3. MSAIDIZI WA HESABU II (NAFASI 30)

4. MWANDISHI MWENDESH2 OFISI II (NAFASI 38)

5. MPISHI II (28)

DOWNLOAD PDF FILE HERE