Skip to main content

Posts

RAIS MWINYI ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA RAIS SAMIA IKULU TUNGUU-ZBR

*RAIS MWINYI ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA RAIS SAMIA IKULU TUNGUU-ZBR* Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi wa Serikali, Vyombo vya ulinzi na Usalama, Siasa , Dini  na Wananchi mbalimbali katika Viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 19 Februari 2026. #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

BURIANI KADINALI PENGO

Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Dar es salam limetangaza kifo cha Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa jimbo hilo, kilichotokea leo saa 4 usiku akiwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es salaam. Taarifa iliyotolewa na Askofu Mkuu wa Dar es salaam, Thaddeus S. Ruwa’ichi imeeleza kuwa taarifa za mazishi zitatangazwa baada ya mipango kukamilika. #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

Daktari Daraja la II (MEDICAL OFFICER GRADE II) Nafasi 492

Application period 13/2/2026-27/2/2026 Duties and responsibilities : >Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura. Fully Funded Scholarships in Korea πŸ”₯ >Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi. >Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa. >Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA. >Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi. >Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi. >Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake. >Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo. >Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake. >Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya. >Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality imp...

Bob Wine na Familia yake kutoroka Nchi

Kiongozi wa Chama cha Upinzani nchini Uganda amesema kuwa mkewe na watoto wamelazimika kuikimbia nchi kutokana na ukatili wa vikosi vya usalama katika msako nyumbani kwake. Robert Kyagulanyi, anayejulikana kama Bobi Wine, alitoa tangazo hilo Jumatano katika ujumbe wa video kwenye mkutano wa kimataifa wa haki za kibinadamu huko Geneva, Uswisi. Bobi alikuwa mpinzani mkuu wa Museveni katika uchaguzi wa mwezi uliopita, akishika nafasi ya pili kwa asilimia 24 ya kura nyuma ya Rais Museveni aliyepata asilimia 71, lakini tangu matokeo hayo kutangazwa amejificha akisema kuwa vyombo vya usalama vinamsakama ili kumkamata. Katika ujumbe wake kwenye mkutano wa Geneva, Bobi alitoa wito wa vikwazo dhidi ya Rais Museveni wa Uganda na mwanawe, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwa ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wapinzani wao. Alisema bado alikuwa mafichoni katika eneo lisilojulikana si kwa hiari lakini kwa kuhofia kuuawa. Katika ujumbe uliotumwa kwenye mtandao wa kijamii wa X, Muhoozi aliandika kw...

Fully Funded WB-RoK Global Knowledge Scholarship 2026-Apply Now

UPDATED!  UPDATED!  UPDATED! 🌏 Fully Funded WB–RoK Global Knowledge Scholarship 2026 – Apply Now! πŸŽ“ MUHAS invites eligible postgraduate students and academic staff to pursue graduate studies in Korea under the World Bank – Republic of Korea GKS Program. Full tuition, living stipend, and Korean language training included! Deadline: End of February 2026. #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

Summer Student Program at Queens University Belfast 2026

MUHAS invites eligible students to apply for the WWIEM Summer Student Programme 2026 at Queen’s University Belfast, UK (22 June – 14 August 2026). Gain 8 weeks of hands-on research experience in: Immunology & Microbes Vision & Vascular Medicine Respiratory Medicine Eligibility: Undergraduate students (Medicine, Dentistry, Biomedical Sciences, Human Biology, or related fields) not in their final year. Funding: £200/week stipend + living support. Apply here: WWIEM Summer Student Programme ( https://lnkd.in/dMDYXNKu ) Deadline: 16 March 2026 Copy ICU: icu@muhas.ac.tz #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

FULLY FUNDED ELECTIVE ROTATION (USA) πŸ‡ΊπŸ‡Έ OPPORTUNITIES

🚨 CALL FOR APPLICATIONS – FULLY FUNDED ELECTIVE ROTATION (USA) πŸ‡ΊπŸ‡Έ Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), in collaboration with Dartmouth Geisel School of Medicine, invites MD4 and MD5 female students to apply for a Fully Funded Elective Rotation in Emergency Medicine and Internal Medicine. πŸ“ Location: New Hampshire, USA πŸ“… Clinical Placement: 10th September – 30th October 2026 πŸŽ“ Coverage: Tuition, accommodation, airfare & meals πŸ‘©‍⚕️ Slots Available: 2 ✨ If you have a strong academic record (GPA 3.5+), an A grade in Emergency/Internal Medicine, and a passion for pursuing a career in these specialties — this is your opportunity to gain international clinical exposure at a world-class institution. πŸ“© Submit: • One-page personal statement • Updated CV (max 2 pages) • Valid US Visa or proof of ability to obtain one πŸ“§ Send applications to: icu@muhas.ac.tz muhas.convocation@gmail.com ⏰ Deadline: 14th March 2026, 1700 hours EAT Don’t miss this prestigious opport...