Application period 13/2/2026-27/2/2026 Duties and responsibilities : >Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura. Fully Funded Scholarships in Korea π₯ >Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi. >Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa. >Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA. >Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi. >Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi. >Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake. >Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo. >Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake. >Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya. >Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality imp...
Comments
Post a Comment