Skip to main content

MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II (COMMUNITY DEVELOPMENT ASSISTANT II)


Location : Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe
Number of posts: 3
Deadline: 12/03/2026

Duties and responsibilities
Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo katika eneo lake,
Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake
Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.
Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,
Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,
Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.
Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka.
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi


Qualifications

Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.


Remuneration:
TGS B

#nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

Comments

Popular posts from this blog

QUOTE OF THE DAY

 

Xiamen University Scholarships

APPLY NOW Xiamen University in China offers a range of scholarship programs for international students who wish to study there. Here are some of the scholarship programs available: FULLY FUNDED: Australia Awards Scholarships (Deadline: 1 May 2023 (annual)) Xiamen University Scholarships for New International Students: This scholarship is awarded to outstanding international students who are applying for undergraduate or graduate programs at Xiamen University. The scholarship covers tuition fees, accommodation fees, and a monthly stipend. >Chinese Government Scholarship: This scholarship is awarded to international students who wish to pursue a master's or doctoral degree at Xiamen University. The scholarship covers tuition fees, accommodation fees, and a monthly stipend. >Xiamen University Tan Kah Kee Scholarships: These scholarships are awarded to international students from Southeast Asia who wish to study at Xiamen University. The scholarship covers tuition fees, accommoda...

Fully Funded Master and Ph.D. in Vietnam 2021/2022

TDTU Graduate Scholarship in Vietnam (Fully Funded Master & Ph.D.) As an international student at TDTU, you will have access to a variety of graduate and research scholarships to help you pursue excellence in your academic and research. Scholarships are awarded on the basis of academic excellence and research potential. The following scholarships are available for graduate international students: Full scholarship: support full tuition fee + full accommodation fee Partial scholarship: 50% tuition fee and 50% accommodation fee Research scholarship: according to publications for TDTU Eligibility: To be considered for a scholarship, candidates must have the admission offer for a Master or PhD program at Ton Duc Thang University. Main scholarship round: Apply no later than May 15 each year for Fall semester Apply no later than November 15 each year for Spring semester How to apply: Applicants applying for a scholarship should submit the application together support documents and either ...