Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi zifuatazo 1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (NAFASI 03) 2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 03) 3. DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 03) Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ('Recruitment Portal'). Apply now #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo ...
Your First Step Towards Success

Comments
Post a Comment