Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Uzinduzi wa Mashindano ya kitamaduni Kati ya Shule mbalimbali 2023

Tarehe ya mashindano ni 04/09/2023

Mwisho wa kujisajili 17/07/2023

Kutakuwa na makundi matano 

1. Sanaa ya uchoraji 

2. Kikundi cha kucheza 

3. Kuimba mmoja mmoja

4. Kuimba kwa kikundi 

5. Bendi ya Ala za asili za kiafrika.

Maelezo zaidi soma poster hii hapa chini, asante.