Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Mfugo na Uvuvi, Wakurugenzi Watendaji wa Halmshauri za Wilaya ya Kishapu,Kaliua,Bukoba, Njombe na kwa niaba ya Mkurugezi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi saba (07) zilivyoainishwa hapa chini.
1. AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL OFFICER II) – (NAFASI 01)
2. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III– NAFASI 01
3. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III– (NAFASI 01)
4. AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – (NAFASI 01)
5. FUNDI SANIFU MSAIDIZI UJENZI DARAJA II- NAFASI 01
6. AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA II-NAFASI 01
7. MHUDUMU WA BOTI – NAFASI 1

Comments
Post a Comment