Hot Posts

6/recent/ticker-posts

NAFASI ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA VIWANDA VYA MISITU KWA MWAKA WA MASOMO 2021/2022



Mkuu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu kilichopo Moshi Mjini, Mkoani Kilimanjaro anakaribisha maombi ya kujiunga na chuo kwa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2021/2022. 

Pakua Maelekezo zaidi na Fomu hapa chini ...

Click the link below
https://www.maliasili.go.tz/uploads/FITI-Tangazo-Maelekezo-na-Fomu.pdf