Skip to main content

BILIONEA JEFF BEZOS AVUNJA REKODI YA KWENDA ANGA LA JUU ZAIDI NA KURUDI DUNIANI



Bilionea Jeff Bezos mmiliki wa kampuni ya Amazon na Blue Origin amevunja rekodi baada ya kwenda kwenye anga la juu zaidi na kurudi duniani ndani ya dakika 11 kwa kutumia roketi iliyotengenezwa na kampuni yake akivunja rekodi iliyowekwa na Bilionea Richard Branson mapema mwezi huu.

“Ilikuwa siku ya kipekee sana” amesema Bezos 



Mapema tarehe 11 Julai, 2021 Billionea Richard Branson alifanikiwa kufikia ukingo wa anga za juu kutumia roketi ya Virgin Galactic na kuweka rekodi ambayo imevunjwa leo na tajiri mwenzake Jeff Bezos.


Comments

Popular posts from this blog

CAF FULL TIME: YOUNG AFRICANS(YANGA) 2 VS 0 MARUMO GALLANTS FC USHINDI MNONO KWA WANANCHI DHIDI YA MARUMO GALLANTS FC FIRST LEG

 

Fellowship Program (2026/2027) MUHAS (OPEN NOW)

MUHAS, in collaboration with Texas Children’s Hospital, invites qualified candidates to apply for the Global HOPE–MUHAS Pediatric Hematology & Oncology Fellowship Program (2026/2027). Deadline: 31st March 2026 Apply Now #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz