Hot Posts

6/recent/ticker-posts

NEW JOB VACANCIES KINONDONI (FURSA KWA MADEREVA)



Wanahitajika madereva daraja la II kujaza nafasi 39 zilizo wazi katika halmashauri ya manispaa ya kinondoni .

Aidha ajira hizi ni za mkataba wa muda, hivyo watanzania wote wenye vigezo na sifa stahiki mnashauriwa kutuma maomba kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili

>>>>Cick here to read and apply now