Hot Posts

6/recent/ticker-posts

NEW JOB VACANCIES KISARAWE (FORM FOUR/FORM SIX JOBS)



Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya kisarawe anakaribisha Maombi ya kazi kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ya watendaji wa kijiji

SIFA ZA MWOMBAJI

1. Awe mwenye elimu ya kidato cha nne au sita aliyehitimu mafunzo ya astashahada/cheti (NTA level 5) katika moja ya fani zifuatazo:-

-utawala

-sheria

-elimu ya jamii

-usimamizi wa fedha,maendeleo ya jamii na sayansi ya sanaa kutoka katika chuo cha serikali za mitaa Hombolo, chuo cha Dodoma au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.

Mwisho wa kupokea maombi ni Julai 20,2021

Click this link to apply Here