Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2021

NAFASI ZA KAZI 700 JESHI LA MAGEREZA 2021

  CLICK THIS LINK TO VIEW PDF

NAFASI ZA KAZI 350 IDARA YA UHAMIAJI

 

Soma hapa Wasifu wa Marehemu William Ole Nasha (1972-2021)

  Aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Mbunge wa Ngorongoro (CCM), William Tate Ole Nasha alifariki dunia jijini Dodoma Septemba 27 mwaka huu. Ole Nasha alizaliwa Mei 27, 1972. Alihitimu elimu ya msingi mwaka 1984 katika Shule ya Msingi Kakesio, kisha akajiunga Arusha Catholic Seminary Secondary School kwa elimu ya upili ambayo alihitimu mwaka 1989. Aliendelea na elimu ya kidato cha tano na sita shuleni hapo na kuhitimu mwaka 1992. Mwaka 1996 alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambako alisoma Shahada ya Awali ya Sheria na kuhitimu mwaka 1999. Kati ya mwaka 200 na 2001, Ole Nasha alisoma Shahada ya Umahiri ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Pretoria nchini Afrika Kusini. Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro kwa mara ya kwanza mwaka 2015, na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli akamteua kuwa Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi. Mwaka 2017 alihamishiwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika ngazi hiyo hiyo ya Naibu Waziri, nafasi al...

YOU ARE HAPPY WHEN YOU MAKE OTHERS HAPPY

 

BACK TO BUSINESS

 

Employment Opportunities at Tanzania Horticultural Association TAHA

Employment Opportunities at Tanzania Horticultural Association TAHA TAHA is an apex private sector member-based organization mandated to develop and promote horticulture (flowers, fruits, vegetables, spices, herbs and horticultural seeds) in Tanzania . TAHA is looking for a Procurement Officer. He/she shall work closely with the Procurement Lead to properly manage all of TAHA’s Procurement activities as well as ensure TAHA gets value for money. Remuneration The successful candidate will be remunerated according the TAHA salary scales, and in alignment with thecandidate’s qualifications and professional experience. Other benefits include health insurance for thecandidate and his/her dependants (spouse and up to 4 legal children), life insurance, and telephone credit allowance. Application Procedure Interested and suitably qualified individuals should send their applications enclosing detailed;  Application letter  Curriculum vitae  Copies of qualification certificates All application...

MIAKA 20 MPAKA KUFANIKIWA

WATAALAM WA MAMBO WANASEMA ITAMCHUKUA MTU TAKRIBANI WASTANI WA MIAKA 20 MPAKA AANZE KUPATA FAIDA YA ELIMU ALIYOWEKEZA. 😀😀😀 WEKA COMMENTS ZAKO HAPO CHINI👇🏿👇🏿👇🏿

HONOR 8X OFFER

 Honor 8X 128GB 899¥ /330,000 Full boxed with accessories, 1Year Warranty, Free Shipping within China Mainland💯✨

FACEBOOK was not the first thing I built✨

  I built games, chat systems, study tools, music players etc. The spirit of perseverance ✍🏾👏🏿✅

Be happy and live your life

 

Habari Zilozopo Magazetini Leo September 27, 2021

 

ARSENAL 3 TOTTENHAM HOTSPUR 1

  SMITH ROWE 12’ AUBAMEYANG 27’ SAKA 34’ SON 78’

YATAZAME HAPA MAGAZETI YA LEO 26.09.2021

 

MAPOKEZI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN JIJINI DARESSALAAM AKITOKEA NCHINI MAREKANI

 

MATOKEO YANGA 1 SIMBA 0

 MAYELE 12’

MFUMO WA PAMOJA WA KUSHIRIKIANA KIUTALII, TANZANIA NA KENYA

  Katika kuhakikisha sekta ya utalii inaimarika na kufikia ngazi za Kimataifa Serikali ya Tanzania na Kenya  zimeweka mikakati ya makubaliano ya mfumo wa kufanya kazi kwa pamoja katika kujadili na kuweka mapendekezo ya sekta hiyo Akizungumza leo Jijini Arusha  katika mkutano wa ushirikiano wa masuala ya utalii baina ya nchi hizo,Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania,Dkt.Damas Ndumbaro amesema mfumo huo utafanya kazi ya kujadili pamoja na kuweka mapendekezo mwishoni kupitishwa na Mawaziri wa sekta hiyo Kenya na Tanzania kwa ajili kusonga mbele. "Naamini tukifanya hivyo tutaweza kutatua changamoto nyingi zinazotukabili na hatimaye kuweza kufanya sekta ya utalii ifanye vizuri zaidi kati ya nchi hizi mbili,"alisema Dkt.Ndumbaro. Katika mkutano huo wa ushirikiano baina ya nchi mbili, Waziri wa Utalii na Wanyamapori,Mhe. Najibu Balala ameongoza ujumbe wa Kenya akiwa ameongozana na Watendaji kutoka wizara hiyo  huku ujumbe wa Tanzania umeongozwa na Waziri wa Maliasi...