Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Rais Mwinyi amteua Charles Hilary kuwa Mkurugenzi wa habari

 


Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, leo Desemba 30 amemteua mtangazaji nguli, Charles Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu – Zanzibar.

Pia Rais Mwinyi amemteua Yusuph Majid Nassor kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) na Dkt. Idrissa Muslim Hija kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Zanzibar.