Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TODAY’S God’s Word: KUTOKUA NA UOGA

 Bwana watesi wangu wamezidi kuwa wengi, ni wengi wanaonishambulia, ni wengi wanaoiambia nafsi yangu, hana wokovu huyu kwa Mungu. Na wewe Bwana U Ngao yangu pande zote, utukufu Wangu na mwinua kichwa changu. Kwa Sauti yangu namwita Bwana naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu. Nalijiliza nikalala usingizi, nikaamka, kwa kuwa Bwana ananitegemeza. Sitayaogopa makumi elfu ya watu, waliojipanga juu yangu pande zote.