Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Justin Trudeau Kuanzisha Udhibiti Mkali wa Bunduki Nchini Canada



Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau ameadhimia kusimamisha uuzaji, uingizaji na uhamishaji wa bunduki nchini Canada. Amewaambia waandishi wa habari leo.

Lengo Kuu 
Hii sio marufuku kamili au kukataza kabisa lakini itasaidia kwa Kiwango kikubwa kuzuia kwa kusambaa kwa bunduki mtaani. Aliliambia gazeti la CBC. 

Pia amenukuliwa akisema “Zaidi ya kutumia bunduki za risasi kwa ajili ya michezo ya uwindaji, hakuna sababu yoyote nchini Canada kutumia bunduki katika maisha ya kila siku”