Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Nyati mweupe aonekana hifadhi ya Tarangire

 



Nyati mweupe aonekana hifadhi ya Tarangire

Ni tukio la kushangaza sana na lililovutia watu na sehemu kubwa ya watalii

Nyati huyo mweupe ameonekana siku ya jumatatu tarehe 16 may 2022 mida ya jioni. 


Kuonekana kwake kumevutia watalii wengi na watafiti kuanza kumfuatilia katika eneo hilo.


Jeremy peter shuhuda wa tukio hilo amesema nyati huyo ni mkubwa tofauti na wengine katika hifadhi hiyo na ameonekana akikaa katikati ya nyati wengine.