Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Nina Imani na Kocha Ten Hag “Ronaldo”

 


Cristiano Ronaldo CR7 ambaye ni mshambuliaji wa Manchester United amesema ana Imani na Erick kocha mpya wa klabu hiyo kubwa duniani na anaamini watachukua makombe msimu ujao. Pia ameeleza ana Furaha kuwepo klabuni hapo huku mkataba wake ambao amesaini ukiishs ifikapo June 2023.

'Najua alifanya kazi nzuri akiwa Ajax na ni kocha mwenye uzoefu. Lakini tunahitaji kumpa muda na mambo yanahitaji kubadilika jinsi anavyotaka. Natumai tutakuwa na mafanikio bila shaka. Kwa sababu ikiwa utafanikiwa, Manchester yote itafanikiwa pia. Kwa hiyo namtakia kila la kheri. Tumefurahi na kufurahishwa, sio tu wachezaji lakini mashabiki pia. Namtakia kila la kheri na tuwe na matumaini kwamba mwaka ujao tutashinda vikombe.'' Amesema CR7