Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs NA LGAs



Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali (MDAs,LGAs,) Mamlaka ya Uhifadhi Wanyama Pori Tanzania (TAWA) Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) na Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolijia (MJNUAT) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23 Novemba, 2022 hadi tarehe 30 Novemba, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

BONYEZA HAPA KUTAZAMA MAJINA