Hot Posts

6/recent/ticker-posts

NAFASI ZA KAZI KATIBU SHERIA DARAJA LA II (35)

 


POST: 35Posts

EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya mashtaka (NPS)

DEADLINE : 19/2/2023

DUTIES AND RESPONSIBILITIES: 

i. Kupokea nakala za kumbukumbu za Mahakama zinazohusu mashauri ya jinai;

ii. Kuweka kumbukumbu (diary) ya tarehe ya kusikiliza Mashauri, Kuwasilisha hati mbalimbali mahakamani na pande zinazohusika;

iii. Kufuatilia hati zinazohitajika katika mashauri ya jinai;

iv. Kutunza majalada ya kesi za jinai;

v. Kupokea ratiba ya mashauri (cause listing), kuandaa majalada yanyohusika, na kuyapeleka kwa Mkuu wa Sehemu kwa ajili ya kuwapangia Mawakili wa Serikali;

vi. Kutunza majalada ya kesi za jinai;

vii. Kuweka Kumbukumbu ya Sheria na Miswada ya Sheria ndogondogo; na

viii. Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Mkuu wake wa kazi