Globalink Research Internship | Mitacs
https://www.mitacs.ca/en/programs/globalink/globalink-research-internship
Hello fam
I hope this finds you well. 😊
Hii ni opportunity nzuri sana kwa undergraduates wote wanaopenda kufanya internship outside India. #CANADA 🇨🇦
Eligibility:
1. Kama unasoma course ya miaka mitatu na sasa hivi upo semester 3 upo eligible. Semester 1&5 hawapo eligible.
2. Kama unasoma course ya miaka minne na upo semester 5 kwa sasa upo eligible. Semester 1,3 &7 hawapo eligible.
Note: Hii ni kwa wanafunzi wanaosoma vyuo vya India tu regardless unatokea wapi.
All the best. 👊
0 Comments