Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI



Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Fisheries Education and Training Agency (FETA), NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(NARCO), Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),, Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2023-08-17 hadi 2023-08-19 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Read more here <All namesPdf