Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 470 KADA MBALIMBALI TANZANIA



Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili