*MHANDISI WA UJENZI (MENEJA WA USIMAMIZI WA MIRADI): NAFASI 1
SIFA ZA MWOMBAJI
-AWE RAIA WA TANZANIA UMRI USIOZIDI 45
-AWE NA ELIMU KUANZIA KIDATO 4/6
-AWE NA SHAHADA/STASHAHADA YA UZAMILI YA UHANDISI KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI NA WALIOSAJILIWA NA BODI ZA USAJILI WA FANI HUSIKA.
-AWE NA UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA MITANO NA KUENDELEA KATIKA UJENZI NA USIMAMIZI MIRADI
KAZI NA MAJUKUMU
-KUFANYA KAZI ZA UHANDISI NA USIMAMIZI WA MIRADI
*MHANDISI MKADIRIAJI UJENZI (QUANTITY SURVEYOR) NAFASI 1
SIFA ZA MWOMBAJI
-AWE RAIA WA TANZANIA UMRI USIOZIDI 45
-AWE NA ELIMU KUANZIA KIDATO 4/6
-AWE NA SHAHADA/STASHAHADA YA UZAMILI YA UHANDISI KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI NA WALIOSAJILIWA NA BODI ZA USAJILI WA FANI HUSIKA.
-AWE NA UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA MITANO NA KUENDELEA KATIKA UJENZI NA USIMAMIZI MIRADI
KAZI NA MAJUKUMU
-KUKUSANYA TAARIFA NA TAKWIMU KUHUSU MIRADI MBALIMBALI KUHUSU BEI ZA VIFAA VYA MAJENGO NDANI NA NJE YA NCHI
-KUPITIA MAPENDEKEZO YA MIRADI (PROJECT PROPOSALS) MBALIMBALI.
SOMA TANGAZO LOTE HAPA CHINI
0 Comments