Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Adakwa Kwa Tuhuma Za Kumbaka Mtoto Wa Miaka 10



Mkazi wa Mtwara mwenye miaka 74 ashikiliwa kwa kosa la kubaka mtoto wa darasa la tatu (10) baada ya kumuona mtoto huyo akiwa na usingizi hivyo kumuelekeza kwenda kulala ndani kwake ambapo alitekeleza tukio hilo.

Jeshi la polisi mkoa wa mtwara linamshikilia Hemed Mshamu (74) mkazi wa manispaa ya mtwara mikindani, kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 10, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Rwelu.
Source: Mwananchi Media