Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Miaka Mitano Jela Kumuingilia Kimapenzi Binti Mwenye Tatizo la Akili


Adhabu ya kosa la kufanya mapenzi na mtu asiye na akili timamu adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela lakini kutokana na maombi ya mshtakiwa kukiri kosa hilo pamoja na umri wake na pia ni mgane mwenye familia ambayo inamtegemea, mahakama imeamua kumpa adhabu hiyo.

Source: Mwananchi