Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea Vibali vya Ajira vyenye Kumb. Na. FA.228/613/01/A/041, Kumb. Na. FA.228/613/01/A/042, Kumb. Na. FA.228/613/01/A/043 na Kumb. Na. FA.228/613/01/A/045 vya tarehe 05 Februari, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
0 Comments