Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA KAZI-WILAYA YA MBARALI-MTENDAJI WA KIJIJI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali anawatangazia nafasi ya kazi ya Mtendai wa Kijiji III. Nafasi hii inatokana na kibali cha Ajira Mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, chenye Kumb.Na FA.228/613/01/006 cha tarehe 07 Desemba 2023. Hivyo anapenda kuwatangazia na kuwakaribisha Watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi hizo kama ifuatavyo;-

MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA III – NAFASI (2) 

APPLY NOW