Wakati wa mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyoitwa Justified Accord 2024, yaliyoongozwa na Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (@USAfricaCommand) nchini Kenya, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania liliungana na majeshi kutoka nchi nyingine 22 katika mazoezi hayo makubwa,… pic.twitter.com/CbMCQfXzQo
— US Embassy Tanzania (@usembassytz) April 4, 2024
0 Comments