Ad

Maadhimisho Siku Ya Mtoto Wa Afrika Picha Mbalimbali Watoto na MH.RAISI WETU MPENDWA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

Wasaa mzuri na wajukuu toka maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika hii leo. 

Ndoto na matarajio ya watoto katika kila kona ya nchi yetu viendelee kutukumbusha jukumu la kila mmoja wetu katika kazi ya kujenga taifa bora kwa kuunda na kutekeleza sera sahihi, ikiwemo uwekezaji mkubwa tunaoendelea kuufanya katika sekta za elimu na afya. Tuendelee kuifanya kazi hii sambamba na ile ya kutunza amani, umoja na mshikamano wa nchi yetu, kwani uhakika wa kesho yao ndio uhakika wa uimara, usalama na ustawi wa nchi yetu.

Post a Comment

0 Comments