Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Rais Samia Kushuhudia Uapisho Wa Rais Wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.