Skip to main content

MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II - 5 POSTS

 


EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

DEADLINE: 2024-11-08

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i) Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo katika eneo lake,

ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake

iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake,

v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi,

vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo.

vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka.

viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.

REMUNERATION: TGS B

APPLY NOW!

Comments

Popular posts from this blog

NAFASI ZA KAZI MPYA UNICEF (Re- Advertisement): Temporary Appointment - Health (Financing) Specialist P3 Tanzania

APPLY NOW Job no:   576667 Contract type:   Temporary Appointment 💥 TAZAMA NAFASI MPYA UNICEF SENIOR OPERATIONS ASSOCIATIONS Duty Station:   Dar-es-Salaam Level:   P-3 Location:   United Republic of Tanzania Categories:   Health Deadline: 10 Nov 2024 11:55 PM UNICEF works in over 190 countries and territories to save children’s lives, defend their rights, and help them fulfill their potential, from early childhood through adolescence. At UNICEF, we are committed, passionate, and proud of what we do. Promoting the rights of every child is not just a job – it is a calling. UNICEF is a place where careers are built: we offer our staff diverse opportunities for personal and professional development that will help them develop a fulfilling career while delivering on a rewarding mission. We pride ourselves on a culture that helps staff thrive, coupled with an attractive compensation and benefits package. Visit  our website  to learn more about what we ...

Tangazo la Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

  Apply Now Apply Now/Omba sasa nafasi hizi za kazi

Tech-Driven Conservation: Protecting the Congo Basin Rainforest

The Congo Basin rainforest, the world’s second-largest tropical forest, plays a crucial role in global biodiversity and climate regulation.  Spanning over 500 million acres, it is home to diverse wildlife, including gorillas, forest elephants, and rare plant species.  Additionally, the rainforest acts as a major carbon sink, helping mitigate climate change. However, illegal logging, mining, and agricultural expansion pose significant threats to this fragile ecosystem. Technology is emerging as a powerful tool in the fight against deforestation and habitat destruction.  Advanced satellite imagery and AI-powered monitoring systems are being used to track illegal activities in real time, allowing conservationists to respond swiftly to environmental threats.  Drones are also being deployed for aerial surveillance, capturing high-resolution images to assess forest health and detect deforestation hotspots. Blockchain technology is revolutionizing supply chain transparency,...