Ad

NEW OPPORTUNITIES 17 POSTS - (GRAPHICS DESIGNING)




POST MWALIMU DARAJA LA III C - SOMO LA (GRAPHICS DESIGNING) - 17 POST

EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2025-02-10 2025-02-20
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii. Kutengeneza na Kufaragua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii. Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya wanafunzi;

iv. Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v. Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi. Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii. Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la “Graphics Designing” kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la (Graphic Design) pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali.

AU Wenye Shahada isiyo ya Ualimu katika fani ya “Graphics Designing”. Waombaji ambao hawana somo la UALIMU ni lazima wawe tayari kupata mafunzo ya UALIMU baada ya kuajiriwa.

REMUNERATION TGTS- D

Post a Comment

0 Comments