Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2020

BREAKING NEWS: NEC Yamtangaza Dr. John Joseph Pombe Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti Cha Urais

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa nafasi hiyo baada ya kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu wa CHADEMA mwenye kura 1,933,271

Dr. Mwinyi Ashinda Urais Zanzibar Kwa Asilimia 76

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imemtangaza mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk Hussein Mwinyi kuwa mshindi wa kiti hicho kwa kupata kura 380,402 sawa na asilimia 76.27 ya kura zote. Akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid Mahamoud Hamid amesema  wagombea urais walikuwa 17 waliopigiwa kura  498,786 sawa na asilimia 88.07 ya wapiga kura 566,352 waliojiandikisha. Amesema kura zilizoharibika zilikuwa 10,944 sawa na asilimia 2.19. “Kwa mujibu wa kifungu cha 96 (2 na 3) ya Sheria ya Uchaguzi namba 4 ya 2018, namtangaza rasmi Dk Hussein Ally Mwinyi wa CCM kuwa amechaguliwa na wananchi wa Zanzibar kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Zanzibar katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 28, 2020,” amesema. Jaji Hamid amesema ZEC imehakiki matokeo ya wagombea wote wa Zanzibar na kujiridhisha kuwa yako sahihi. Amesema mgombea anayefuatia ni Maalim Seif Sharif Hamad wa chama cha ACT Wazalendo aliyepata kura 99,103 sawa na asilimia 19.87.

JOB OPPORTUNITIES TRA, NHC & TPDC

  VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Revenue Authority (TRA), Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and National Housing Corporation (NHC) Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 8 vacant posts as mentioned below. 1.0TANZANIA REVENUE AUTHORITY (TRA) Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995.The Authority is a semi-autonomous agency of the Government responsible for the administration of the Central Government taxes as well as several non-tax revenues. TRA is currently implementing its Firth Corporate Plan whose vision is to enhance voluntary tax compliance. 1.1OFFICE ASSISTANT II -4 POSTS 1.1.1 DUTIES AND RESPONSIBIILITIES i. Distribute documents to respective offices; ii. Collect and forward mail to post office; iii. Move files to and from registries; iv. Open office doors in the morning and close the same in the evening; v. Carry out photocopying and binding of ...

Halima Mdee Apoteza Jimbo la Kawe

Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 194,833 akifuatiwa na Halima Mdee wa CHADEMA aliyepata kura 32,524.

Mwana FA Ashinda Ubunge Muheza

  Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, amemtangaza Mwana Fa wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 47,578 na kumshinda Yosepher Komba wa CHADEMA aliyepata kura 12,034. Mwana Fa anaungana na wasanii wengine ambao waliingia Bungeni kama Joseph Mbilinyi aliyeshindwa kutetea nafasi yake ya Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini na Joseph Haule ‘Prof Jay’ aliyeshindwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Mikumi.

Habari Zilizopo katika magazeti ya leo jumamosi 31.10.2020

 

Habari Zilizopo katika magazeti ya leo jumamosi 24.10.2020

 

5 KEYS AND POSITIVE WAYS LEADERS CAN BE SUPPORTIVE OF YOUNGER TALENT THAT ARE GRADUATING AMIDST COVID-19

From Chris Schembra , here are highlighted key pieces of advice during Covid-19 Economy 1. Give them the opportunities you had. 2. Act as a mentor. 3. Empower them to control their path. 4. Turn the crisis into a crash course. 5. Connect them to your network. CLICK HERE TO READ FULL ARTICLE

Job Opportunity at NBC Bank, Head of Policy, MI, Control & Governance

Head of Policy, MI, Control & Governance  NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services. Job Summary To ensure that the credit policies, procedures and processes in line with local regulations and NBC/ABSA Africa standards and fully implemented and adhered to. To manage and control the quality of credit portfolio on a continuous basis by ensuring adherence to the relevant policies and standards. To maintain a diary of management information requirements and timely production of MI reports in line with these requirements. Interpretation, presentation and commentary on management information. Job Description​ Accountability: Policy and Governance -60% Establish the wholesale principal risk management framework. Identify the key risk indicators and key risk scenarios as per the existing local and group policies Review of the Corporate ...

Job Opportunity at International Rescue Committee, Procurement Officer

Requisition ID: req10845 Job Title: Procurement Officer Sector: Supply Chain Employment Category: Fixed Term Employment Type: Full-Time Open to Expatriates: No Location: Kasulu, Tanzania Job Description The International Rescue Committee, one of the world’s largest humanitarian agencies, provides relief, rehabilitation, and post-conflict reconstruction support to victims of natural disaster, oppression, and violent conflict in 42 countries. The IRC is committed to bold leadership, innovation, and creative partnerships. Active in public health, education, livelihoods, women’s empowerment, youth development, and protection and promotion of rights, IRC assists people from harm to home. The IRC has been working in Tanzania since early 90’s , and currently programs across five core sectors Health, Women’s Protection and Empowerment, Child and youth protection and development , Protection and rule of law and lastly Education. Scope of Work: IRC is looking for someone who can support Sup...

JIPATIE KEIRA HANDBAGS KWA BEI NAFUU

Sasa zinapatikana zile handbags mpya zinazobamba Mjini zipo sokoni moja kwa tatu kwa shilingi 30,000 tu, gharama hii imejumlisha pamoja na usafiri kutoka China mpaka Dar. Weka oda yako mapema kuanzia pisi moja oda ikikamilika nafunga na kutuma mzigo. Utasubiri siku 35 mpaka 45 kupokea mzigo wako mkononi. Nimekuwekea na sampo picha ili uone vitu vikali. Namba zetu ni +255658080817 Tupigie masaa 24, whatsapp pia masaa 24. Asanteni sana na karibuni wateja wetu.

50 Cent Says I don’t want to be 20 Cent Under Biden tax plan

Rapper 50 Cent said yesterday that he’s backing President Trump because he opposes Joe Biden plan to hit higher earners with big tax increases.  A new analysis says that, under the Biden plan, high earners would face an effective tax rate of more than 62 percent in New York City and a rate of 60 percent in New Jersey.

NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI WILAYA KIBONDO

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kupitia Kibali cha Ajira Mbadala kwa Watendaji wa Vijiji, Kibali chenye Kumb. Na. FA 170/358/01’B’/92 cha tarehe 07 Agosti, 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais. Mkurugenzi Mtendaji anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kuomba kazi ili kujaza nafasi za kazi ya AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. 1.0 AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III - NAFASI 02 1.1 SIFA ZA MWOMBAJI Mwombaji anatakiwa awe na cheti cha kufaulu Kidato cha Nne (IV) au cha Sita (VI) na waliohitimu mafunzo ya Cheti (Astashahada) katika fani zifuatazo: Utawala, Uongozi na Usimamizi wa Fedha, Sheria, Elimu ya Jamii, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali. 1.2 KAZI NA MAJUKUMU i. Kuandaa taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini na kuongeza uzalishaji mali....

NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAFIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mafia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (1) ya Mtendaji wa Kijiji. 1. SIFA ZA MWOMBAJI Mhitimu wa Kidato cha Nne / Sita wenye Cheti/ Stashahada NTA Level 5 katika moja ya fani zifuatazo: Utawala Maendeleo ya Jamii Usimamizi wa Fedha Sayansi ya Sanaa na Sheria. Wawe wamesoma vyuo vinavyotambulika na Serikali. 2. MSHAHARA Mshahara unaanza na Ngazi ya TGS B. 3. MAJUKUMU YA KAZI i. Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji; ii. Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji; iii. Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya Maendeleo ya kijiji; iv. Kuratibu mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji; v. Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na taratibu za uendeshaji wa Serikali ya Kijiji; vi. Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutek...

Tanzania Confirms terror attacks at border village of Kitaya

The inspector general of Police Simon Sirro has confirmed that some 300 militants from Mozambique attacked Kitaya village last week killing several people and destroying property.  Kitaya is on the banks of the River Ruvuma that separates Tanzania and Mozambique. Speaking to Azam tv, the IGP said Police have since arrested both locals and foreigners in connection with the terrorist incident. According to the police chief, the attackers have since retreated to Mozambique but vowed to bring the perpetrators of the attack to book. This was the first such raid since Islamic State- linked fighters began an insurgency in Mozambique three years ago. Sirro said some of the gunmen involved in last week’s attack were Tanzanians who authorities believe were behind a string of murders in the coastal town of Kibiti, Rufiji in 2017. Tanzania is working with regional neighbors to “flush out the terrorists,” he said, without naming the group behind the raid. Militants based in Mozambique’s gas-ric...

Scholarships Masters and Doctoral Degree Program in the Academy of Korean Studies

  https://grad.aks.ac.kr/index.do

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa October 23