Hot Posts

6/recent/ticker-posts

NEW JOBS VACANCIES: Watendaji Wa Vijiji (Kibondo)

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kupitia Kibali cha Ajira Mbadala kwa Watendaji wa Vijiji, Kibali chenye Kumb. Na. FA 170/358/01’’C’’/48 cha tarehe 24 Mei, 2021 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais.


Mkurugenzi Mtendaji anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kuomba kazi ili kujaza nafasi za kazi ya AFISA TENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III.