Skip to main content

Rais Samia afanya uteuzi tena, Hamad NHC, Mchechu Hazina?

 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi MKUU wa shirika la nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw. Mgonya Benedicto ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Pia amemteua Bw. Hamad Abdalah kuwa MKURUGENZI Mkuu wa SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), Kabla ya uteuzi huo , Bw. Abdallah alikuwa Mkurugenzi mtendaji wa GIMCOAFRICA Limited na anachukua nafasi ya Bw. Mchechu ambaye ameteuliwa kuwa msajili wa Hazina.

Zaidi Rais Samia amemteua Bw. Mussa Mohammed Makame, kuwa Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la maendeleo ya petroli Tanzania (TPDC), na pia ni mshauri mwelekezi wa masuala ya mafuta na gesi nchini Tanzania. Bw. Makame anachukua nafasi ya Dkt. James Mataragio ambaye atapangiwa kazi nyingine

Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 24 Februari 2023.





Comments

Popular posts from this blog

Call for applications- Oxford Africa Conference Innovation Seed Fund

📢 Call for Applications! MUHAS students and recent graduates are invited to apply for the 2026 Oxford Africa Conference Innovation Seed Fund (ISF) in partnership with the University of Oxford. Win up to £5,000 under: 1️⃣ Nsiona Social Impact Innovation Award (£5,000) Delivered in partnership with Nsiona Impact, this award supports initiatives demonstrating measurable and scalable social impact across Africa. 🔗 Apply: https://lnkd.in/dmm4gr_r 2️⃣ Oxford University Innovation (OUI) Entrepreneurial Prize (£5,000) Proudly supported by Oxford University Innovation, this prize backs an outstanding founder building a venture rooted in Africa’s realities and designed for durable impact. 🔗 Apply: https://lnkd.in/dmm4gr_r ✅ Open to current students and recent graduates (within one year) of African universities ✅ £5,000 in non-dilutive funding ✅ Finalists will pitch physically or virtually in May 2026 🗓 Deadline: 28 February 2026 #MUHAS #OxfordAfricaConference #Innovation #AfricaLedSolutions ...

MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II (COMMUNITY DEVELOPMENT ASSISTANT II)

Location : Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe Number of posts: 3 Deadline: 12/03/2026 Duties and responsibilities Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo katika eneo lake, Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo. Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake, Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi, Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo. Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi Qualifications Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (S...