Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2025

New Jobs Vacancies CRDB Bank -Apply Today.

Explore Exciting Career Opportunities at CRDB Bank – May 2025 CRDB Bank, a leading financial institution in Tanzania, is renowned for its commitment to excellence, innovation, and customer-centric banking. With a strong presence nationwide and a dynamic work environment, CRDB Bank offers exceptional career growth opportunities for professionals ready to make a meaningful impact. If you’re driven by ambition, integrity, and a passion for banking, this is your chance to join a forward-thinking organization that values talent and empowers its employees. Current Job Openings – May 2025 CRDB Bank is thrilled to announce 4 new job openings at its Tanzania Head Office. Whether you’re an experienced manager or a driven analyst, explore the positions below and take the next step in your career. 1.Manager Financial Institutions and Offshore Clients Open Slots: 1 2.Senior Specialist; Cyber Security Governance 5& Compliance Open Slots: 1 3.Manager Value Chain Open Slots: 1 4.Business Analyst O...

Tangazo la Nafasi za Kazi(11) Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga anakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi Kumi na moja (11) za kazi. Tangazo hili ni kutokana na Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mchanganuo wa nafasi hizo ni kama unavyoonekana hapa chini:- 1.0 DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 08) 2.0 MAJUKUMU YA KAZI i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari. ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi. iii. Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari. iv. Kufanya na kusambaza nyaraka mbalimbali pale inapohitajika. v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari. vi. Kufanya usafi wa gari na vii. Kazi nyingine anazopangiwa na mwajiri. viii. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari. ix. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi. x. ...

NAFASI ZA KAZI MPYA : MABADILIKO YA TAREHE NA MAHALI PA USAILI WA MAHOJIANO

MABADILIKO YA TAREHE NA MAHALI PA USAILI WA MAHOJIANO Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote waliopangiwa kufanya usaili wa mahojiano kuzingatia mabadiliko ya tarehe na mahali pa kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa kwenye kiambatisho hapo chini. Soma zaidi... #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

Binance news update |Cryptocurrency updates

Fellow Binancians, We are pleased to announce that users can now place Limit Buy orders as part of “Buy Crypto” service on Binance. Users can access this feature when purchasing crypto in their local currencies with their credit or debit cards through the ‘Buy Crypto’ function. This new feature is available on both Binance website and the Binance Pro App. With Limit Buy orders, users can set the maximum price they are willing to pay for a given crypto asset, and orders are only executed within the desired parameters. This broadens the options of order types available when buying crypto with fiat on Binance, catering to users’ different trading preferences. #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodo...

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 25/05/2025

Tazama matokeo hapa #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

NEW JOBS VACANCIES (11) - HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

💥 PIA TAZAMA LEO TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MPYA ZA HALMASHAURI (9) Tangazo la nafasi za kazi 11 kwa watanzania wanaokidhi vigezo halmashauri ya wilaya ya tanganyika 1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI TANO (5) 2. DEREVA DARAJA LA II - NAFASI SITA (6) Apply Now Also check👇👇👇✅️🔥 💥 Research Intern Opportunities at UNDP with a stipend Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 2.06.2025 #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MPYA ZA HALMASHAURI (9)

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele amepokea kibali cha Ajira mpya  kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya  Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe  29/04/2025. Hivyo, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za  kujaza nafasi zifuatazo 1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (NAFASI 03) 2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 03) 3. DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 03) Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/  (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ('Recruitment Portal'). Apply now #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo ...

Research Intern Opportunities at UNDP with a stipend

Apply here #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow #scholarshipsopportunities #fullyfundedscholarships #fullyfunded #mabumbe #ajiraleo #ajiraportal #ajiratz #brightermonday #cvpeople #jobshunting #jobsinarusha #jobsindar #jobsinmbeya #jobsinmwanza #jobsindodoma #chinascholarships #chinascholarshipsopportunities #ajiraportaltz

Tangazo la Nafasi mpya za kazi (8) Assistant printer Ofisi ya waziri mkuu sera, bunge na uratibu

Ofisi ya waziri mkuu-sera, Bunge na uratibu imetangaza nafasi nane(8) za mpiga chapa msaidizi daraja II. Mwisho wa kutuma maombi ni 05 June, 2025. 👉 Apply now Pia Tazama hapa nafasi hizi mpya 💥 Tangazo la nafasi za kazi - Supply Chain Lead, Dar-es-Salaam, Tanzania #nafasimpyazakazi #daresalaamjobs #newjobsopportunities #jobstanzania #newopportunities #newemploymentopportunities #hiringnow

Tangazo la nafasi za kazi - Supply Chain Lead, Dar-es-Salaam, Tanzania

Job Summary: The Supply Chain Lead is responsible for executing end to end supply chain functions, including the ordering, issuance, and tracking of medical consumables across all AHN centers and the central warehouse in Tanzania. This role also oversees the procurement of medical equipment for AHN facilities and supports the distribution of medical equipment to external clients as part of the company’s distribution business. The ideal candidate will ensure timely, accurate, and cost-effective supply chain operations that support clinical service delivery and business growth. KEY RESPONSIBILITIES: Procurement & Vendor Management Build and maintain relationships with suppliers of various sizes for both local and international procurement of medical consumables and equipment. Establish and maintain regular communication with vendors to place, follow up, and expedite orders to meet delivery timelines. Liaise with the Tanzania Food & Drug Authority (TFDA) for timely processing of l...