- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele amepokea kibali cha Ajira mpya
kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe
29/04/2025. Hivyo, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za
kujaza nafasi zifuatazo
1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (NAFASI 03)
2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NAFASI 03)
3. DEREVA DARAJA LA II (NAFASI 03)
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment
Portal) kupitia anuani ifuatayo;
(Anuani hii pia
inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu
iliyoandikwa ('Recruitment Portal').
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment