Hot Posts

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI UDEREVA

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Rufiji anapenda kuwatangazia watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi za udereva daraja la II NAFASI 2.

SIFA ZA MWOMBAJI

>Elimu kidato cha nne.

>Awe na leseni daraja E au C1.

>Mafunzo VETA au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.

>Mwisho wa maombi ni tarehe 9/11/2023

Soma hapa zaidi kwa maelezo kamili na kuomba

APPLY NOW