Application period 13/2/2026-27/2/2026
Duties and responsibilities :
>Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura.
>Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.
>Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
>Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
>Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi.
>Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi.
>Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake.
>Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
>Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
>Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya.
>Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement).
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).

Thanks for reading , please share to the potential people
ReplyDelete