Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2022

SON APEWA TUZO YA JUU YA UCHEZAJI BORA NA RAISI WA SOUTH KOREA KWA MCHANGO MKUBWA KWENYE KABUMBU

  Son Heung-min was awarded the Cheongnyong Medal, his country’s highest sporting honour, by South Korea’s president 🎖 Son Heung-min was awarded the Cheongnyong Medal, his country’s highest sporting honour, by South Korea’s president 🎖

Top Stories Magazeti Leo Jumamosi 04 June 2022

 

Mke wa Prof.Jay anena kwa mara ya kwanza ‘Watu wakakutenga, kuona hufai kwa hali yako’

https://youtu.be/elHjt3L_XYM

Royal 👑 Tour Yazaa Matunda

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana leo Bungeni Dodoma amesema  “Kipekee kabisa, napenda kuungana na Watanzania wenzangu kumpongeza Rais Samia, kwa juhudi zake kubwa za kuitangaza nchi yetu kimataifa kupitia programu ya Tanzania – The Royal Tour ambayo imeanza kuleta matunda kwa kuvutia Watalii na Wawekezaji kutembelea nchini ambapo Mawakala wa Utalii zaidi ya 30 kutoka katika masoko ya utalii yakiwemo Marekani, Ufaransa na Lithuania wamehamasika kutembelea Tanzania kujifunza na kujionea vivutio mbalimbali vya utalii kwa lengo la kuvitangaza katika nchi zao” “Vilevile Wawekezaji kutoka Taifa la Bulgaria wameonesha nia ya kuwekeza nchini kwa kujenga hoteli nne (4) zenye hadhi ya nyota tano (5) katika hifadhi za Taifa Serengeti, Ziwa Manyara na Tarangire na Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Serikali pia imesaini mkataba wa ushirikiano katika masuala ya utalii, biashara na uwekezaji baina ya Tanzania na Jiji la Dallas Marekani, mwezi Aprili, 2022, hatua ambayo i...

NEW JOB VACANCY: RISE PROJECT

    HAPA KUDOWNLOAD PDF FILE

MAJINA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JKT

  JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewaita vijna waliohitimu elimu ya Sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2022 kutoka shule zote za sekondari Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kuanzia tarehe 3 Juni 2022 na mwisho wa kuripoti ni tarehe 17 Juni 2022. Akitoa taarifa kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema sanjari na wito huo Jeshi la Kujenga Taifa JKT limewapangia makambi watakyokwenda kuripoti na mwisho wa kuripoti ni Juni 17, 2022. = =>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MAJINA

Wizara ya Maliasili yaomba bilioni 624

  Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, ameliomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi bilioni 624,142,732,000 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya sekta ya Maliasili na Utalii kwa mwaka ujao wa fedha.   Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana Akisoma bajeti hiyo Waziri Balozi Dkt. Chana amesema wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 inatarajia kujenga barabara mpya zenye urefu wa kilomita 2,500 katika hifadhi za Taifa za Arusha, Burigi - Chato, Gombe, Katavi, Kilimanjaro, Kitulo, Mahale, Udzungwa, Manyara, Rubondo, Rumanyika - Karagwe, Ruaha, Mikumi, Nyerere na Serengeti. Aidha, Wizara itajenga njia za utalii zenye urefu wa kilomita 251 na barabara za kutembea kwa miguu zenye urefu wa kilomita 342.5. Waziri Chana ameongeza kuwa Wizara hiyo itawezesha uandaaji wa mipango ya matumizi bora ya ardhi katika vijiji 30 vinavyozunguka Hifadhi ya Taifa Nyerere na vijiji 18 vinavyozunguka Hifadhi ya Taifa Serengeti, kuchimba mabwawa mapya n...

Viboko Wauwawe

Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo, ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara yake ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuanza kuwaua Viboko, wanaoonekana kutoka ndani ya Ziwa Victoria na kwenda kurandaranda kwenye makazi ya watu na kufanya mauaji. "Lakini ninyi wananchi msianze kuwavuna (kuwaua) viboko bila kibali, siku mkiwavuna mniambie na mimi babu yenu nije kuonja nyama yake, nasikia wana nyama tamu sana, siyo," amesema Katibu huyo wa CCM Daniel Chongolo

TAARIFA: Usafirishaji Wa Wanyamapori HAI Nje ya Nchi

 

Nina Imani na Kocha Ten Hag “Ronaldo”

  Cristiano Ronaldo CR7 ambaye ni mshambuliaji wa Manchester United amesema ana Imani na Erick kocha mpya wa klabu hiyo kubwa duniani na anaamini watachukua makombe msimu ujao. Pia ameeleza ana Furaha kuwepo klabuni hapo huku mkataba wake ambao amesaini ukiishs ifikapo June 2023. ' Najua alifanya kazi nzuri akiwa Ajax na ni kocha mwenye uzoefu. Lakini tunahitaji kumpa muda na mambo yanahitaji kubadilika jinsi anavyotaka. Natumai tutakuwa na mafanikio bila shaka. Kwa sababu ikiwa utafanikiwa, Manchester yote itafanikiwa pia. Kwa hiyo namtakia kila la kheri. Tumefurahi na kufurahishwa, sio tu wachezaji lakini mashabiki pia. Namtakia kila la kheri na tuwe na matumaini kwamba mwaka ujao tutashinda vikombe.'' Amesema CR7

AGIZA SIMU CHINA 🇨🇳 BEI YA JUMLA NA BILO AUSTIN (GADGETS SALES XPRESS$)

 KWA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA MITANO SASA TUTAKUNUNULIA NA KUKUPAKILIAVMZIGO WAKO WA SIMU IWE KUANZIA PISI MOJA NA KUENDELEA KUTOKA GUANZHOU CHINA 🇨🇳 MPK DARESSALAAM BEI ZETU NI ZA JUMLA KIWANDANI KABISA KARIBU SANA WHATSAP NAMBA ZETU NI +255658080817 PIA KAMA WW NI MFANYABIASHARA UTAPEWA PIA USHAURI BURE KARIBUNI SANAA