Ad

NAFASI ZA KAZI MPYA | MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III (4) WILAYA YA KWIMBA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba amepokea Kibali cha Ajira Mbadala kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia Barua yenye Kumb. Na. FA.228/613/01/C/028 ya tarehe 20 Juni, 2024.Hivyo, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi zifuatazo:

DOWNLOAD PDF HERE

Post a Comment

0 Comments